Habari zilizotufikia ni kwamba huko mkoani Arusha mfanyakazi za nyumbani
amechomwa moto na bosi wake kwa kosa la kukojoa kitandani......
Yesu Ruwa mangi...... binadamu tumrudie Mungu jamani....
yaani kweli umchom mwenzako na moto wa gesi kiasi hiki kisa kakojoa kitandani????
Huu unyanyasani ni kwa nini unaota mapembe siku hadi siku????? kuna siri
gani ipo ndani yake??????? Watawala wa nchi hii wapo kimya na
wanaosimamia sheria pia wapo kimya.....tukimbilie wapi?????
gani ipo ndani yake??????? Watawala wa nchi hii wapo kimya na
wanaosimamia sheria pia wapo kimya.....tukimbilie wapi?????
Huu ndo ujumbe nilopokea toka kwa mdau.... jamani anaomba sana mfatilie
mliopo Arusha ili tutokomeze unyanyasaji kwa wafanyakazi wetu wa
majumbani.....
mliopo Arusha ili tutokomeze unyanyasaji kwa wafanyakazi wetu wa
majumbani.....
No comments:
Post a Comment