Uhusiano wa kimapenzi kati ya Rapa Young Killer na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina la Halimaty umesemwa kuwa na dosari baada ya Young killer kusemekana kumpiga msichana huyo.
Inavyosemekana majirani wa Young killer
walimwambia Shettah kuwa akae na Young Killer ili amfahamishe mwenzake
tabia ya kumpiga msichana sio nzuri,sikiliza maongezi haya yalikuwa
baina ya Young Killer,Shettah na Soud Brown.
Hapo nyuma mara kazaa mrembo wa young amekuwa akitupia picha tata mtandaoni kudhihirisha mapenzi yao ni motomoto...

bofya hapa kusikiliza...
Hapo nyuma mara kazaa mrembo wa young amekuwa akitupia picha tata mtandaoni kudhihirisha mapenzi yao ni motomoto...
bofya hapa kusikiliza...
KUCHECK PICHA TATA ALIZOKUWA AMEGEUZA NOTI ZA ELFU KUMI KUWA SHUKA
>>>CLICK HAPA<<<
>>>PICHA: MREMBO WA YOUNG KILLER AONESHA KWENYE SWIMMING POOL KILICHOMFANYA APEWE NAFASI YA ‘UMRS SUPASTAA’<<<
No comments:
Post a Comment