Asilimia
kubwa ya wanawake huwa na tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe
hata njia ya kuelekea kileleni bado hawajaiona,mara nyingi huwa wanafake
kwa kuongeza kelele za kimahaba au wengine
huwa wanaongea kabisa,utawasikia "ooh baby am comming" basi hapo
mwanaume atajiona dume la mbegu kumbe "hatoshi" na mara nyingine inawapa
shida sana wanaume kujua kama ni kweli wamewaridhisha na kuwafikisha
wake zao au wanadanganywa.
Zifuatazo ni dalili za mwanamke anayefika kileleni..
1. MISULI YA UKE WAKE ITAKUWA INAKAZA NA KUACHIA.
Akiwa
anakaribia kufika kileleni,kwa ile raha atakayokuwa anasikia
automatically na hatoweza kujizuia,atajikuta misuli ya uke wake inakaza
na kuachia,itaanza taratibu lakini kadri anavyokaribia kufika kileleni
na speed ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke wake itakuwa
inaongezeka.
Ninaposema misuli ya uke wake itakuwa inakaza na
kuachia,namaanisha mashine yako ikiwa ndani ya uke wake,akiwa anakaribia
kufika kileleni,utaanza kuhisi uke wake unaibana mashine yako kwa
sekunde kadhaa kisha inaachia. (Kitendo cha uke wake kuibana na kuiachia
machine kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka afike kileleni)
2.UKE WAKE UTAZIDI KULOA AU ATASQUIT.
Kwa
maana ambayo haipo complicated sana,kusquit ni kitendo cha mwanamke
kukojoa akifika kileleni wakati wa kupeana raha na utamu.G-spot ikipata
msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kusquit na ndio maana
hiyo.Hamu ya kukojoa wanawake wengi wanaipata katikati ya tendo la
kupeana raha na utamu,wengine wanaweza kuipata wakati wa maandalizi kama
mwanaume ataweza kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.G-spot ikipata
msisimko wa kutosha,hutoa taarifa kwa female prostate,female prostate
itatengeneza hayo majimaji yakiwa tayari,utajisikia kukojoa,ukijiachia
ili yatoke yatapitia kwenye urethra kama mkojo lakini sio mkojo.
Asilimia
kubwa ya wanawake,wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa
wanajisikia kama kukojoa,wanaomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya
kusquit hivyo muda mwingine kabla ya kumake love,kojoa kabisa ili kibofu
chako cha mkojo kiwe empty ili katikati ya tendo ukisikia kukojoa ujue
unakaribia kusquit.kwahiyo jiachie lii uweze kupata raha na utamu wa
kufika kileleni kwa njia ya kusquit.
Sio
wanawake wote wanaweza kusquit,kama ikitokea hujaweza usijisikie
vibaya,unatakiwa kujijua kuwa upo katika kundi la wale wanawake ambao
wakifika kileleni uke wao huwa unazidi kuloa badala ya kusquit.
3.KELELE NA MIGUNO YA KIMAHABA LAZIMA ITAZIDI.
Kama
mwanamke wako ni full makelele mwanzo mpaka mwisho basi itakuwa sio
rahisi kujua kama makelele ama miguno anayotoa sasa ni yanamaanisha
amefika kileleni au ni sehemu tu ya kupeana raha na utamu.Lakini
wanawake wengi wanadanganya kwa kutumia kipengele hiki,lakini utajua
kuwa anadanganya pale makelele au miguno yake yakiwa katika mpangilio
unaoeleweka kwa mfano (oooh yeah,oooh yeah,ooh yes kama cd
iliyorekodiwa).
Makelele
ya kufika kileleni mara nyingi yanakuwa hayaeleweki,na wala hayana
mpangilio,mara nyingi yanakuwa deep yakiambatana na body language
inayoendana na makelele au miguno anayotoa.tofauti na hapo ujue
unadanganywa.
4.CHUCHU ZAKE ZITAZIDI KUWA NGUMU.
Kwa
kawaida wakati mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya kupeana raha na
utamu,Matiti yake huvimba kutokana na ongezeko la speed ya mzunguko wa
damu mwilini,lakini chuchu zake zinakuwa zipo kawaida,ingawa wapo baadhi
ya wanawake chuchu zao zinakuwa ngumu pale matiti yakivimba (ni
wachache sana sio wote).
Kwahiyo
inabidi ujue mapema kabla hata tendo la kupeana raha na utamu
halijafika katikati,Pale mwanzoni tu unapokuwa unapashana nae
joto,ziguse au ziminye chuchu zake taratibu kama ukizikuta ni
LAINI,alafu baadae katikati tendo zikabadilika zikawa ngumu,basi ujue
kuna uwezekano ama ulifanikiwa kumfikisha kileleni au alikaribia kufika
lakini hakufanikiwa.kama ukizikuta ngumu tokea mwanzoni basi
haitowezekana tena kuzitumia chuchu kama dalili ya kukujulisha kuwa
amefika kileleni au bado.
5.LUGHA YA MWILI ( BODY LANGUAGE)
Atakuwa anahema haraka kwa sababu Internal organs na Muscles zake zinahitaji oxygen zaidi ili aweze kufika kileleni salama.
Atazidisha kujikunjakunja,kujinyonganyonga au kujisogeza kwako (akiwa ametulia tu ujue bado ongeza bidii)
Mikono yake hukunja kunja au kufinya shuka.
Kama
mpo kwenye staili ya kifo cha mende utashangaa ghafla ataanza
kukumbatia na kukushikilia kwa nguvu kama kucha zake ndefu atakuachia
alama kadhaa mgongoni au kifuani na saa nyingine anaweza akashindwa
kujizuia akakung'ata.

No comments:
Post a Comment