Hatimaye video ya Kerewa ya ShettaTz sasa kuonyeshwa MTV Base
Moja
ya malengo ya Shetta kwenda kufanya video nje ya Tanzania yameanza
kutimia na kwa mara ya kwanza video ya Shetta imepata airtime kwenye
kituo hiki.
Video ya Shetta imetambulishwa kwenye kituo cha MTV Base kwenye kipindi maalum cha kutambulisha video mpya.
No comments:
Post a Comment