STAA wa
filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa mpaka sasa
hajazaa kwa sababu bado alikuwa hajamuona mwanaume wa kuwa baba watoto
wake.
Akichonga napaparazi, Amanda alisema katika maisha yake anapenda sana
mtoto lakini bado hajatokea mwanaume sahihi wa kuzaa naye ila anashukuru
kwa sasa amempata.
“Miaka yote sijazaa kwa sababu nilikuwa sijamuona mwanaume sahihi wa
kuzaa naye, lakini kwa sasa nimemuona japokuwa siwezi kumtaja kwa sababu
bado naye nipo katika hatua za mwisho za kumpitisha kama anafaa,”
alisema Amanda.
No comments:
Post a Comment