Siku za karibuni, Nyota wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID waliingia kwenye headlines kutokana na kauli za kupishana katika mtandao wa Instagram.
TID alionekana kuja juu kutokana na comment iliyotolewa na Ray C instagram kwenye moja ya post zake.
Baada ya kukaa kimya akimuuguza mama yake hatimaye mwanadada Ray C amejibu kile kilichosemwa na TID.
Hii ndio kauli ya Ray C, Namnukuu “Hi
everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni
Mwema.(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako
ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa
Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa.
>>BOFYA HAPA<<
>>BOFYA HAPA<<
No comments:
Post a Comment