Yani baada ya Al Shabaab kusema wataua viongozi Kenya, imebidi msafara wa rais uwe hivi
baada ya kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab cha Somalia kutoa onyo kwamba mashambulizi yake yanayofata yatawahusu viongozi wa Kenya, imebidi system ya ulinzi wa rais kwenye msafara ibadilike.
Unaambiwa
mabadiliko yalianza kuonekana toka mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye
sherehe za 51 za kujitawala ambapo badala ya Rais kutumia gari aina ya
Land rover iliyo wazi iliyokua pia ikitumika na marais wa awali, rais
aliiingia kwenye uwanja wa michezo wa nyayo na gari aina ya Land cruiser
iliyo na vioo visivyo penya risasi.
No comments:
Post a Comment