Lil Wayne, Drake, Trey Songz , Pharrell Williams na Usher kutumbuiza kwenye Tuzo za BET ZITAKAZOTOLEWA June 29 2014
Orodha hiyo inajumuisha wasanii kutoka Young Money Lil Wyne na Drake. Mastaa wengine watakaoshambulia jukwaa ni Trey Songz, Usher na hit maker wa ‘Happy’ Pharrell Williams, Jennifer Hudson pamoja na Lionel Richie.
Host wa tuzo za BET atakuwa mchekeshaji/muigizaji Chris Rock.
Tuzo hizo zitaoneshwa live kutokea ‘Nokia Theatre’ huko Los Angeles, Marekani June 29
No comments:
Post a Comment