WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON KATIKA VIWANJA VYA LEADERS
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika viwanja vya leaders
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili katika viwanja vya leaders kwaajili ya wakazi wa Dar kutoa heshima zao
Baadhi
ya wasanii wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu George Tyson
tayari kuliweka sehemu ya kutolea heshima za mwisho
Msanii Single Mtambalike akisalimiana na Wasanii wenzake mara baada ya kuwasili katika viwanja vya leaders
Mkuu
wa Mkoa Wa Dar Es Salaam, Mh Said Mecky Sadick akitoa neno kabla ya
Kuondoka katika viwanja vya leaders. Picha zote Na V-SKILLS-AFRICAN-BOY.
No comments:
Post a Comment