STAMINA : Sijatoa wimbo wa Lango la Jiji
Stamina amenihakikishia asubuhi ya leo kuhusu wimbo huo wa Lango la Jiji kuwa sio wake bali alishirikishwa tu. Lakini ameshangazwa kuona wimbo huo umetoka na kutambulishwa kama wake na haukuwa rasmi kutoka kwa wakati huu.

No comments:
Post a Comment