Tuesday, 10 June 2014

Mrembo Aaguka Kutoka Juu ya Spika na Kufariki Dunia Wakati Akicheza Mziki

Mrembo Aaguka Kutoka Juu ya Spika na Kufariki Dunia Wakati Akicheza Mziki

Nimetumiwa story hii na chanzo ambacho hakikujitambulisha, na ni stori iliyoambatanishwa na picha, ni story ya binti aliyevunjika shingo yake na kufariki katika tamasha la kucheza muziki mitaani (street dance) katika mitaa ya Jamaica weekend weekend iliyopita.

No comments:

Post a Comment