Tuesday, 10 June 2014

Picha: Ciara Aonekana Mtaani na Mwanae kwa Mara ya Kwanza

Picha: Ciara Aonekana Mtaani na Mwanae kwa Mara ya Kwanza


Ciara
Ni wiki takribani tatu zimepita tangu Ciara ajifungue mtoto wa kiume aliyempa jina la Future Zahir Wilburn. Mwimbaji huyo ameonekana mtaani kwa mara ya kwanza akiwa anamsukuma mwanae kwenye kitoroli maalum cha watoto.
Baba wa mtoto huyo, rapper Future na mchumba hakuongozana nae muda huo.
ciara tena

No comments:

Post a Comment