NEWS ALERT: WANAFUNZI WA CHUO CHA USAFIRISHAJI CHA NIT WAFANYA VURUGU MUDA HUU KUSHINIKIZA KUPEWA PESA ZAO ZA MKOPO

Wanafunzi wakiwa wanapiga Makelele kushinikiza Kulipwa pesa zao



Mmoja wa Mawaziri wa Serikali ya Wanafunzi akizungumza jambo

Gari la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kwa ajili ya usalama chuoni hapo

Usalama umeimarishwa..
No comments:
Post a Comment