MTITU AMPA MAKAVU JB:ni baada ya kutoa mchango mdogo kwenye msiba wa ‘Recho’, soma habari kamili hapa
KATIKA hali
ya kushangaza msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William
Mtitu amemchana live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kutoa
mchango mdogo kwenye msiba wa Sheila Haule ‘Recho’.
Akizungumza
msanii mmoja wa filamu ambaye hakutaka jina lake lichorwe gazetini,
alisema katika kutoa michango ya msiba wa Recho ilifika zamu ya JB
ambapo alichangia elfu hamsini jambo ambalo lilimkera Mtitu na kuanza
kumchana live.
Baada ya kuzinyaka habari hizo, paparazi wetu alimuuliza Mtitu kulikoni ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Ukweli
iliniuma sana ndiyo maana nikaamua kumchana JB mbele za wasanii yaani
msanii mkubwa kama yeye na analipwa vizuri lakini anakuja kutoa shilingi
elfu hamsini hii siyo sawa japo alikasirika lakini ujumbe ulifika
No comments:
Post a Comment