Friday, 20 June 2014

MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIES ANASWA NA KAMERA YETU LIVE AKIUZA MIHOGO

MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIES ANASWA NA KAMERA YETU LIVE AKIUZA MIHOGO

Batuli na Patcho Mwamba Star wa filamu nchini mwenye mvuto wa aina yake Yobnesh Yusuph "Batuli" ameamua kuuza mihogo ili kujikimu kimaisha baada ya hali kuwa ngumu. Hayo yameajiri katika filamu mpya ya Uncle Kiepe ambapo amecheza na Patcho Mwamba na Philemon Lutwaza.

No comments:

Post a Comment