AJALI MBAYA YA GARI NA PIKI PIKI BARABARA YA CHALINZE SEGERA
Mwendesha
pikipiki na abiria (majina hayakutambulika) wakiwa wamelala chini
katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na
gari ndogo yenye usajili namba T818 BNS leo mchana.
Mpiga
picha wa tukio hili alienda kutoa taarifa ya ajali kiTuo cha polisi cha
Kabuku ambapo Polisi walienda kutoa msaada wa kukimbiza majeruhi
hospitali pamoja na kupima ajali.
No comments:
Post a Comment