MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Mkuu
wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa
wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akipokea maandamano ya
wadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya mazingira
jijini Dar es salaam.Kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry
Silaa.

Baadhi
ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es
salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye
ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira duiniani leo.

Kikundi
cha ngoma za asili kutoka shule ya msingi Umoja kikitoa burudani wakati
wa maadhimisho ya wiki ya Mazingira yaliyofanyika katika uwanja wa
Mnazimmoja jijini Dar es salaam.

Baadhi
ya wafanyakazi na wadau wanaojihusisha na shughuli za usafi na
usimamizi wa mazingira jijini Dar es salaam wakiwa na zana zao za kazi
wakati wa maadhimisho ya wiki ya Mazingira yaliyofanyika katika uwanja
wa Mnazimmoja jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment