Thursday, 5 June 2014

KAMERA YETU IMEWAFUMA TENA LIVE WAHESHIMIWA HAWA BILA CHENGAA,NI JERRY SILAA NA ANTHONY MAVUNDE,ONA WALICHOFANYA


KAMERA YETU IMEWAFUMA TENA LIVE WAHESHIMIWA HAWA BILA CHENGAA,NI JERRY SILAA NA ANTHONY MAVUNDE,ONA WALICHOFANYA


Mstahiki Meya wa manispaa ya ilala,Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi CCM, Mheshimiwa Jerry Silaa na Mhe.Anthony Mavunde ambaye ni MNEC wa mkoa wa Dodoma,walifumwa na kamera yetu katika viwanja vya Leaders jana baada ya kuungana na wasanii wa Bongo Movie kuuaga mwili wa George Tyson kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Kenya kwa Mazishi..Vijana hawa ni mfano wa kuigwa kwa kushiriki mambo mbalimbali ya kijamii na kitaifa pia..Masama Blog inawatakia kila la heri katika kutimiza ndoto zao za kuwa viongozi wa baadaye wa Tanzania yetu na dunia kwa ujumla kwani tuna imani kubwa na utendaji wao.
Tunakumbuka usemi wa tajiri namba moja duniania aliyesema kuwa
 "As we look ahead into the next century, leaders will be those who empower others"-Bill Gates

No comments:

Post a Comment