Tuesday, 10 June 2014

je umemtongoza bado hakutaki? hii ndio kiboko yake..chukua love message hapa na umtumie mpenzi wako....lazima atakulegezea macho tu...

je umemtongoza bado hakutaki? hii ndio kiboko yake..chukua love message hapa na umtumie mpenzi wako....lazima atakulegezea macho tu...



----------------------------------
Wewe ni mng’arao machoni mwangu; Tabasamu la midomo yangu; Furaha ya uso wangu; Kwa sababu bila wewe, mimi sijatimia.
----------------------------------
Mungu ni mwenye busara kwa kuwa hakubandika gharama yoyote juu yako mpenzi. Kama angelifanya hivyo, nisingeweza kuwa na uwezo wa kuwa na mpenzi wa thamani kama wewe.
----------------------------------
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda! 
----------------------------------
Unanipa furaha, Unanipa tumaini. Unanipa nguvu, ambayo hunifanya nivumilie. Nakupenda mpenzi, kuliko unavyompenda papa!
----------------------------------
Niliulizwa juu ya kanuni ya ‘Nyutoni’ na nikasema kuwa sijui. Nikaulizwa ni nani Rais wa sasa wa Marekani lakini sikuwa na uhakika kama ni Clinton au Obama Lakini nilipoulizwa kuwa ni nani ninayempenda, jibu pekee nililolifikiria ni wewe. 
----------------------------------
Nimekutumia meseji hii kukuarifu kuwa nakufikiria. Natumaini kwamba hii dakika moja ninayokutumia meseji itasaidia kuwasilisha penzi langu moja la milele.
----------------------------------
Nimevutiwa na uzuri wako, Usafi wako umenitia kiini macho na nimestaajabishwa na penzi lako. Mara kwa mara nakuwaza mpenzi wangu. 
----------------------------------
Naamini uatakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi, tafadhali badili yako mavazi , bafuni ingia upate maji kujimwagia, natamani kuja kukusaidia mgongo kuusugua na chakula kukuandalia lakini siku haijawadia, nakupenda dear!
----------------------------------
Leo ni zaidi ya mwezi toka tumeyaanza yetu mapenzi na kila kukicha nakuota kwenye njozi ukinipa majambozi na huishi uchokozi, sijui lini nitaacha hizi njozi kwa kunipa laivu lako penzi, nakupenda mpenzi
----------------------------------
Hakikisho la mapenzi: . . umeingia moyoni mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana,wajua moyo huwa unafunguliwa mara moja hasa kwa ile true love . . .
----------------------------------
Naapa abadani penzi langu sitalitoa asilani ingawa upo mbali nami, nakupenda amini kwako nimefika, nitunzie langu penzi wasije niibia washenzi.
----------------------------------
Kwa kawaida busu la mafanikio hubusiwa usoni, busu la amani hubusiwa mashavuni, busu la upendo hubusiwa mdomoni, busu la mapenzi hubusiwa shingoni, Je wapi nikubusu ili ulale kwa raha sweet ?
----------------------------------
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI 

No comments:

Post a Comment