HABARI PICHAZ: KWELI HAKUNA MTU MWEMBAMBA WALA MWEUSI....!UAMUZI TU SOMETIME...!
Mwanadada RAY C
kwa mshangao mkubwa amekili kuwa hakuna mtu mwembamba dunia....Kupitia
ukurasa wake wa INSTAGRAM, aliweka picha yake ya zamani alipokuwa
KIPOTABO na kuandika kwa mshangao kuwa haka kabinti
kamenenepa.....
Kwasasa mwanadada huyo amenenepa ile mbaya...na KITAULO
kimekolea....



No comments:
Post a Comment