Thursday, 5 June 2014

6 PICHAZ KALI: MMMH....VERA SIDIKA NDANI YA 'KITAULO'...SI MCHEZO...

6 PICHAZ KALI: MMMH....VERA SIDIKA NDANI YA 'KITAULO'...SI MCHEZO...

 
Huyu ni moja kati ya ma-TOP SOCIALITE hapa Africa....Anaitwa VERA SIDIKA kutoka Kenya.. Huyu ni miongoni mwa kidada ambao KITAULO aka MKOLOGO umembadilisha sana...leo nimekuletea picha zake za sasa hivi na za BACK IN DAYS ujionee mwenye....
Siku za hivi karibuni mwana dada huyu ALIPONDWA na mtangazaji wa KISS 100 FM kutokana na kujikoboa namna hii. Jionee mwenyewe.
Hivi sasa: Daah utadhani anakunywa KAROLITI..




 HAPA CHINI NI ALIVYOKUWA ZAMANI KABLA YA KITAULO

No comments:

Post a Comment