DIVA AOMBA VIPANDE VYAKE KWENYE VIDEO YA WAUME YA CHEGE NA TEMBA KUONDOLEWA.
Loveness
Malinzi a.k.a Diva kupitia Kipindi cha You Heard ndani ya XXL ya Clouds
fm ametiririka kuwa licha ya kushiriki kwenye upigaji picha wa Video
"Wauwe" ya Kina Chege na Temba hataki wasanii hao watumie Scene yoyote
anayoonekana,
Bonyeza paly umsikilize Diva akitiririrka;

No comments:
Post a Comment