CLOUD AWACHANA WASANII WANAOLIA na kuzimia KINAFIKI(kinaah) MISIBANI huku wakiwaomba marafiki zao wawaangalizie simu zao
STAA wa
filamu Bongo, Issa Musa ‘Cloud’ hivi karibuni aliwachana wasanii wa
kike na kuwataka kuachana na tabia ya kulia na kuzimia kinafiki kwenye
misiba kwani wanaonesha picha mbaya katika jamii.
Akizungumza siku moja kabla ya mazishi ya aliyekuwa msanii wa filamu,
Sheila Haule ‘Recho’, Cloud alisema baadhi ya wasanii wa kike wamekuwa
na tabia ya kulia kinafiki kwenye misiba.
No comments:
Post a Comment