BREAKING NEWS: MASKINI! MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI MIAKA 4 AFARIKI
Mvungi (47) akiingizwa mahabusu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Morogoro baada ya kupandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya kula njama
na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra.
Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi
miaka minne amefariki dunia.
Nasrah
alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi
wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama
yake mzazi kufariki.
Tunalaani
vitendo hivi vya kikatili alichofanyiwa mtoto huyo licha ya madaktari
kujitahidi kuokoa maisha yake lakini mungu ameamua kumchukua....
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
No comments:
Post a Comment