Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma
Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida wakati alipokuwa
amelazwa ICU katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam hivi karibuni
kabla hajafikwa na umauti.
MAMA
mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, Bi. Shida
amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam!
No comments:
Post a Comment