Mike Tee ameachia wimbo mpya alioupa jina la ‘Mchepuko’,
mdundo wa wimbo huu umefanywa na Hermy B na vocal zimerekodiwa na
producer Mbezi.
Mike Tee anajieleza kama mwanaume anaechepuka na kuingilia mahusiano
ya wenzake huku akimshawishi msichana aendelee kumsaliti mumewe na kumpa
tunda yeye.
No comments:
Post a Comment