Tuesday, 27 May 2014

TASWIRA MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME

TASWIRA MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME

Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa.
Wasanii
wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka TMK Wanaume Family,Temba na Chege
wakiwa ndani ya ndege wakati wakiendelea Kurekodi Video yao mpya ambayo
itatoka hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment