Saturday, 31 May 2014

PHOTO’S: LIVE kutoka mochwari ya Morogoro tayari kwa safari ya kuelekea Dar es Salaam kwa maandalizi ya mazishi

PHOTO’S: LIVE kutoka mochwari ya Morogoro tayari kwa safari ya kuelekea Dar es Salaam kwa maandalizi ya mazishi

IMG_4222
Pichani ni Anton Mtaka ambaye ni DC wa wilaya ya Mvumero hapa Morogoro, kulia ni raisi wa wasanii Mwakifamba wakiingia eneo la hapa Mochwari tayari kwa maandalizi yote kuwa sawa
IMG_4226 IMG_4227
Mbonie Masimba leo ni mtu wa kulia kila mara akikutana na ndugu jamaa na marafiki, kweli huwezi amini kama Tyson hatunae tena, aliyevaa nguo ya njano yenye vidoti doti ameinama chini ni mama mzazi wa Mboni ambaye tulikuwa nae toka juzi kwenye shughuli ya kuwagaia wanafunzi madawati
IMG_4231
Team ya The Mboni Show ikiwa kwenye picha ya pamoja, hawa niliosimama nao ndio waliokuwa kwenye ile gari pamoja na marehemu Geogre Tyson na hapo hali zao si nzuri sana kila mmoja analalamika maumivu kwenye sehemu zao za mwili. Halafu wawili wamekimbizwa hospital ya Mwimbili kwa matibabu ya haraka.
IMG_4236 IMG_4238
David mmoja wa camera man wa The Mboni Show akizungumza na waandishi wa habari
IMG_4245

No comments:

Post a Comment