NISHA AMWAGIWA MATUSI YA NGUONI KISA, MWANAUME
Matusi!
Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta kwenye wakati
mgumu baada ya kutukanwa matusi ya nguoni na mwanadada anayejulikana kwa
jina la Muna Alphonce kisa, kikidaiwa ni mwanaume.

Habari
ya mjini ilieleza kwamba Muna ambaye ni mke wa mtu aliporomosha matusi
ya nguoni ambayo hayaandikiki hapa huku akimtoa kasoro mbalimbali Nisha
na kumweleza kuwa hakuwahi kufikiria wala kuwa na uhusiano wa kimapenzi
na mpenzi wake wa sasa kwani ana mume na familia.

“Sina
uhusiano na mwanaume wa Nisha ila kuna siku moja alinipigia simu na
kujitambulisha kwangu kwamba anahitaji tufanye biashara kwani anafanya
biashara ya magari lakini nikampotezea, akarudia tena mara ya pili pia
nikampotezea lakini sasa nashangaa Nisha kudai ninamtaka mwanaume wake.
Wewe nisha nikome kabisa,” alisema Muna.

Baada
ya kuzinyaka habari hizo na matusi hayo ya nguoni, paparazi ilimtafuta
Nisha na kumuuliza kulikoni ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Mimi sigombei mwanaume na mtu. Mwanaume wangu ninampenda na yeye ananipenda japokuwa watu wanazungumza mengi,” alisema Nisha.

No comments:
Post a Comment