MC
maarufu Gladys Chiduo maarufu kwa jina la MC Zipopamba (pichani)
amenusirika kifo baada ya gari kupata ajali na kumuua George Tyson.
Zipompa ameuambia mtadao huu asubuhi hii kuwa yeye alikuwa kiti cha
mbele na Tyson pamoja
watu
wengine walikuwa viti vya nyuma na kilichomuokoa yeye ni kufunga
mkanda, kwani licha gari kupinduka na kuzunguruka mara tatu alipata
majeraha kidogo na hali yake inaendelea vyema kwa sasa akiwa hospitali
ya Mkoa ya Morogoro.
No comments:
Post a Comment