MBOTO ATOA WOSIA WA KIFO.... USOME HAPA... USIPITWE!!
Akizungumza
na paparazi kwenye Viwanja vya Leaders wakati wa msiba wa msanii
mwenzake, achel Haule ‘Recho’, Mboto alisema tayari ameshaacha wosia kwa
marafiki zake kwamba siku akifariki dunia mwili wake uagiwe TCC kwani
yeye nyumbani kwao ni Temeke na ndugu zake wengi wapo huko na endapo
wosia huo utakiukwa jeneza lake litagoma kubebeka.
“Mimi
nimeshawaambia marafiki zangu kwamba siku nikifa mwili wangu uagiwe TCC
Chang’ombe kwa sababu ndiyo nyumbani kwetu, naomba wale niliowaambia
walizingatie hilo wakiona linakiukwa wagome na jeneza langu ligome
kubebeka,” alisema Mboto.
No comments:
Post a Comment