CCM Kirumba Iko Tayari Kwa Kili Tour
Masaa machache yamesalia kabla ya Kili Music
Tour kutimua vumbi katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo maandalizi yote
yamekwisha kamilika ikiwa ni pamoja na wasanii kufanya majaribio ya
mwisho kabla ya show kuanza. Mageti yanatarajiwa kufunguliwa saa tisa
mchana na tayari tiketi zimeanza kuuzwa nje ya uwanja wa CCM Kirumba.

Jukwaa litakalotumiwa na wasanii likiwa limezungukwa na ndege maarufu jijini Mwanza kwa jina la Bwana Afya

DJ Mafuvu Katika Sound Check

Christian Bella

Rich Mavoko akifanya soundcheck

Vanessa Mdee na madansa wake katika mazoezi ya kulitawala jukwaa

Majaribio ya ulinzi pia yanafanyika
No comments:
Post a Comment