AUNT EZEKIEL USO KWA USO NA MBAYA WAKE CHINA,aliemchana kwa chupa mkononi na kesi hiyo inaendelea Mahakamani
MSANII wa
filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso
kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chupa mkononi na
kesi hiyo inaendelea katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Aunty
alisema hayo juzi Jumatatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
jijini Dar es Salaam mbele ya hakimu Agustina Mbando, akikanusha taarifa
ya wadhamini wa Ivon, Christopher Mwaseba na Anthon Mwaseba walioiambia
mahakama kuwa mtuhumiwa alikuwa nyumbani akimuuguza mama yake.

Msanii
huyo alisema wadhamini hao wanaidanganya mahakama kwa kuwa hivi
karibuni alikuwa nchini China na aligongana naye uso kwa uso.

No comments:
Post a Comment