AFYA:Watafiti wamekuja na hii sasa, Kulala chumba chenye mwanga kunasababisha unene.
Timu
ya watafiti kutoka Taasisi ya saratani ya jijini London imebaini kuwa
wanawake wana nafasi kubwa ya kuongezeka unene kwa kulala vyumba vyenye
mwanga mkubwa.
Hata
hivyo utafiti huo unaonya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuwa sasa
watu waanze kununua mapazia mazito au ulazima wa kuzima taa wakati wa
kulala.
Sasa jiulize kibongobongo hii imekaaje kutokana na mazingira ya nyumba zetu?
No comments:
Post a Comment