HII NDO JEURI YA PESA YA P-SQUARE CHEKI HUU MJUMBA WAO WA KIFAHARI ULIVYO
Wanandugu wawili ambao ni mapacha Peter Okoye na Paul Okoye, leo hii wameushangaza ulimwengu mara baada ya picha zao wakiwa
kwenye sebule na dinning room iliyonakshiwa na dhahabu kwenye samani
zake kuzagaa mitandaoni huku zikisindikizwa na maneno yenye kujiamini
ndani yake.
Maneno
kama:-‘Goldenworld #blessed.’, ‘#2kings…… Work hard,play harder.’ na ‘A
king in my own world…. #Blessed.’ yalitumika kusindikiza picha hizo
wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti.
Kama kweli mng’o unaoonekana kwenye vitu hivi vyote ni dhahabu, basi
hakuna sababu kuna kila sababu ya kuwaita wafalme wa mziki Africa
kutokana na
No comments:
Post a Comment