Friday, 6 December 2013

:Ray akiri asema chuchu ndio mke wake mtarajiwa.

SINEMA ya madai mazito dhidi ya mastaa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, Ruth Suka ‘Mainda’ na Chuchu Hans ambaye ni mke wa mtangazaji Frank Mtao kuchanganywa kimapenzi na Vincent Kigosi ‘Ray’ sasa inaendelea na mhusika mkuu Ray amefunguka na kueleza yake ya moyoni huku akisisitiza: “Chuchu ndiye mke wangu, tarajieni makubwa soon (hivi karibuni).”

Hapa akijibu maswali mawili muhimu..!!!

Dalali Mpekuzi #V-SKILLS AFRICANBOY255: Ni kitu gani hicho?
RAY: Niacheni na Chuchu wangu.... kifupi ndiye mke wangu na itawashangaza wengi. Halafu mimi nawashangaa sana. Yaani mimi kutoka na Chuchu mnakuzaaaa... mbona alivyokuwa na ma-boyfriend zake wengine hamkuandika? Kwa sababu ni Ray basi mkaona ni habari. Mimi ninavyojua Chuchu siyo mke wa mtu.

Kwanza mimi sijamchukua kutoka mikononi mwa mumewe kama mnavyosema. Chuchu tayari alikuwa na maisha yake mapya. Nilimchukua kutoka kwa Libert (hajafafanua zaidi ni nani). Mbona alivyokuwa na huyo Libert hamkuandika? Kifupi niacheni na maisha yangu.

Dalali Mpekuzi #mr255: Vipi kuhusu Johari?
RAY: (Huku akikimbia kuingia uwanjani) Tena huyo mama yako (akimuonesha mwandishi Johari) anakuja.
Mwandishi wetu aliachana na Ray aliyekuwa akiingia uwanjani na kumfuata Johari lakini hakuwa tayari kusema chochote achilia mbali hata kumsikiliza mwandishi wetu!

TUJIKUMBUSHE
Hivi karibuni gazeti hili liliandika habari yenye kichwa MAINDA: NIMETOA MIMBA YA RAY. Ndani yake Mainda alifunguka mengi ikiwemo kuchanganywa kimapenzi na Ray, yeye na wenzake Johari na Chuchu Hans.

Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu..!!!!!

Photo: #Bongo255:Ray akiri asema chuchu ndio mke wake mtarajiwa.

SINEMA ya madai mazito dhidi ya mastaa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, Ruth Suka ‘Mainda’ na Chuchu Hans ambaye ni mke wa mtangazaji Frank Mtao kuchanganywa kimapenzi na Vincent Kigosi ‘Ray’ sasa inaendelea na mhusika mkuu Ray amefunguka na kueleza yake ya moyoni huku akisisitiza: “Chuchu ndiye mke wangu, tarajieni makubwa soon (hivi karibuni).”

Hapa akijibu maswali mawili  muhimu..!!!

Dalali Mpekuzi #Mr255: Ni kitu gani hicho?
RAY: Niacheni na Chuchu wangu.... kifupi ndiye mke wangu na itawashangaza wengi. Halafu mimi nawashangaa sana. Yaani mimi kutoka na Chuchu mnakuzaaaa... mbona alivyokuwa na ma-boyfriend zake wengine hamkuandika? Kwa sababu ni Ray basi mkaona ni habari. Mimi ninavyojua Chuchu siyo mke wa mtu.

Kwanza mimi sijamchukua kutoka mikononi mwa mumewe kama mnavyosema. Chuchu tayari alikuwa na maisha yake mapya. Nilimchukua kutoka kwa Libert (hajafafanua zaidi ni nani). Mbona alivyokuwa na huyo Libert  hamkuandika? Kifupi niacheni na maisha yangu.

Dalali Mpekuzi #mr255: Vipi kuhusu Johari?
RAY: (Huku akikimbia kuingia uwanjani) Tena huyo mama yako (akimuonesha mwandishi Johari) anakuja.
Mwandishi wetu aliachana na Ray aliyekuwa akiingia uwanjani na kumfuata Johari lakini hakuwa tayari kusema chochote achilia mbali hata kumsikiliza mwandishi wetu!

TUJIKUMBUSHE
Hivi karibuni gazeti hili liliandika habari yenye kichwa MAINDA: NIMETOA MIMBA YA RAY. Ndani yake Mainda alifunguka mengi ikiwemo kuchanganywa kimapenzi na Ray, yeye na wenzake Johari na Chuchu Hans.

Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu..!!!!!

No comments:

Post a Comment