Friday, 6 December 2013

Kajala apeta na kesi yake.

Kajala apeta na kesi yake.

Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.

Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu..!!!!

Photo: #Bongo255:Kajala apeta na kesi yake.

No comments:

Post a Comment