MATOKEO YA MECHI ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE SIKU YA JANA
Siku ya jana ilikuwa ni siku ngumu kwa Man City ambao walikuwa na mtihani mkubwa dhidi ya Bayern. Man City waliweza kuwapiga Bayern nyumbani kwao goal 3-2, huku Man U akipata goal dakika ya 67 na kushinda goal 1-0 dhidi ya Shakhtar Donetsk.
Mchezo kati ya Gatasalary vs Juventus uliairishwa na unatarajiwa kufanyika leo saa kumi.Matokeo mengine ni kama ifuatavyo kwenye picha
No comments:
Post a Comment