PICHA....Amber Rose Baada Ya Zoezi Kali
La Kurudisha Mwili Wake....
Baada Ya kujifungua mtoto mzuri wa rapper Wiz Khalifa,
Amber aliingia gym kwa ajili ya mazoezi ya nguvu ya
kurudisha mwili na muonekano wake ukizingatia kazi zake
nyingi zinahitaji muonekano mzuri.
......
No comments:
Post a Comment