Hii itakuwa ni kwa mara kwanza kwa mwimbaji wa
Tanzania na pengine Afrika kuwa followed na Rais
Barack Obama wa Marekani kwenye twitter ambae
ana zaidi ya followers milioni 40 lakini
yeye anafollow watu laki sita.
Vanessa Mdee ameingia kwenye list ya watu laki sita
ambao Rais Barrack Obama ana wa-follow sasa hivi
ambapo baada ya Rais huyu kufollow, kwa furaha Vanessa
alishare kwenye instagram screenshot ya ukurasa wake wa
twitter ukionyesha Barack Obama ameanza kum-follow.
Kama ilivyo twitter, hii inamaanisha ana Vanessa ana
uwezo wa kumuandikia msg binafsi kwenye inbox Rais
Obama.
Monday, 25 November 2013
KWA MARA YA KWANZA RAISI OBAMA AMEM-FOLLOW MWIMBAJI HUYU KUTOKA TANZANIA.......UNAJUA NI NANI???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment