Mrembo anayefanya vizuri katika mambo mengi sana
nchini Jokate Mwegelo amezungumza na kutaja Mambo
manne yanayomfanya apendwe sana na wanaume wengi
hapa nchini.
1. Kujiamini
Hii ndi sababu kubwa ya kwanza aliyoitaja jokate. Ansema
hamna kitu kinachowavutia watu, hasa wananume kama
kujiamini. Mwanaume anapenda msichana anayejiamini.
Zaidi ya yote hamna kitu kinachosema kuwa “I’m sexy”
Zaidi ya mwanamke anayejiamini
2. Kujitegemea
Hii ni kama sababu ya kwanza hapo juu, Jokate anasema
hamna kitu kinachowaboa wanaume kama mwanamke
ambaye anapenda vitu vya kupewa. Ukimuonesha
mwanaume wewe unapenda kutafuta vya kwako basi jua
atakupenda sana
3. Kupendeza
Jokate anasema ni muhimu kwa wadada kuvaa nguo nzuri
ambazo zitakupendeza kulingana na mwili wako hasa hasa
nguo zenye rangi ya kuonekana.
4. Tabasamu
Tabasamu kila saa kwani tabasamu linakufanya
unaonekana mzuri Zaidi.........
Tuesday, 26 November 2013
JOKATE ATOA SABABU 4 KWANINI ANAPENDWA SANA NA WANAUME.........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment