Wednesday, 27 November 2013

JESSICA KIKUMBI "ALIYE KUWA MUME WANGU NDIO ANASAMBAZA PICHA ZANGU ONLINE....


Leo picha za nusu utupu za Binti huyu zimezagaa
mitandaoni ikisemekana ameweka yeye hizo picha
facebook lakini yeye amejitokeza na kusema hiyo
facebook account haijui na si yake ..haya ndio
aliyoyasema jisomee mwenyewe hapa:
"My friends hizo picha zinazosambazwa na watu
sijazituma mimi japo yes nilizipiga,ila kuna mtu
ambae anatumia hela na uwezo wake kunichafua
kwenye magazeti na kwenye mablog,sidhani
kumuacha mwanaume ni sababu ya kunichafua na
kuandika habari za uongo magazetini,nashukuru
kwa mnaoni support, hasa familia yangu na wazazi
wangu wamekua bega kwa bega na mimi,sheria
itachukua mkondo wake naamini serikali chini ya
waziri Dk Emmanuel Nchimbi iko pamoja na mimi
na nashukuru kwa support yao
Huyo mwanaaume niliachana nae, baada ya kuona
ana mahusiano yasiyo ya kawaida na mamaake,
nikaona niondoke baada ya kuninyanyasa sana
kijinsia mpaka kesi ipo polisi kawe, sasa
amepokonya simu ambayo inapicha zangu
personal anazisambaza, amewahi magazeti ili
ajisafishe,ila ukweli ni kwamba yeye na mama
yake ambae ni kigogo mkubwa serikalini ndo
wanahusika........

No comments:

Post a Comment