Thursday, 12 March 2015

Wadau Wapendwa...Samahani kwa Kuondoka Bila Kuaga...Niko Mahala Yaani ni Remote Kiasi Kwamba Internet Haipatikani....






Nitarejea Mjini Jumamosi na mambo yatakuwa powaaaaa.....
Tuendelee Kuvumiliana na nikirudi tu nitajibu emails zote na kupandisha post zote za wadau
Research ya Masters Thesis ndo imenileta huku kijijini...

Japo
maisha ya wanakijiji hawa yanaweza kuonekana kuwa ni ya shida hasa
kwetu tuliozoea hizi raha bandia za mjini, ukikaa vizuri na kuyatakari
pengine ni bora kuliko hata sisi tunaojifanya tumeendelea huko mijini...



Mf. hawa wenzetu yaani wanakula vyakula walivyolima wenyewe kabisa...
Leo kwa mfano nimechinjiwa kuku hapa tulipofikia na ana-taste tofauti kabisa na wale wa mjini waliokuzwa kwa mahomoni na RVs....
Halafu hawa yaani mambo madogo madogo hawajali...
Maisha yanaendelea...







Serikali naona inawapatia umeme kwani tayari nguzo na nyaya zimeshatandazwa...
Bila shaka umeme utawafungulia milango ya utandawazi na "maendeleo"mapya
Maisha !!!

No comments:

Post a Comment