Kampuni kubwa ya usambazaji wa filamu, Steps
Entertainment hivi karibuni itatoa filamu mbili za marehemu Steven
Charles Kanumba kwa lengo la kumuenzi nyota huyo wa filamu.
Filamu hizo ni YAMENIKUTA ambayo inatoka mwezi huu wa tatu mwishoni
pamoja na RIZIKI inayotarajia kutoka mwezi ujao siku chache kabla ya
kufikia siku ya kumbukumbu ya kifo chake
Wadau tukae mkao wa kula.
No comments:
Post a Comment