Katika
pita pita zangu kwenye kurasa za waigizaji kwenye mitandao ya
kijamii nimefanikiwa kukutana na picha hizi tamu za Mzee Majuto akiwa
na mrembo Nisha wakipeana vitu adimu..
Kilichonifurahisha
katika picha hizi ni hizi pozi zao mbili tofauti, kwanza wanaonekana
kama wanachombezana mara wanaonekana kama wamefumaniwa…hahahaha hatari
sana.
Nisha aliandika maneno haya kwenye picha hiyo hapo juu.
“Mahaba nitie pili pili za macho... kazini na my baby babu... Kiss mke mdogo la sivyo nakuoshesha vyombo”


No comments:
Post a Comment