Friday, 13 March 2015

BREAKING NEWSSSSS....BASI LA ARUSHA EXPRESS LAPATA AJALI MBAYA YA KUGONGANA NA LORI






Ajali Arusha: Imetokea ajali ikilihusisha basi la Arusha Express Lenye namba za usajili T 206 BEF na Lori baada ya dereva wa basi kujaribu ku-overtake na kukutana na lori mbele yake

- Hakuna vifo isipokuwa abiria wa Lori ndio wameumia na kukimbizwa Hospitali, na basi hilo lilikuwa likitoka Arusha Kuelekea jijini Mbeya leo asubuhi

No comments:

Post a Comment