Staa
aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio yake, Agnes Gerald
‘Masogange’ sasa amepaa kimataifa zaidi na kuwa gumzo hadi Marekani
baada ya hivi karibuni mtandao mmoja wa watu maarufu nchini humo kumpa
shavu.
Masogange aliripotiwa na
mtandao wa Media Take Out na kumuelezea kuwa ni staa mwenye makalio
makubwa barani Afrika akitokea Tanzania.Mbali na maelezo kibao ya
kusifia wowowo lake, mtandao huo uliposti picha kibao za mwanadada huyo
ambaye sasa anaishi Afrika Kusini akiweka mapozi tofauti ya kimitego..
Baada ya Mtandao huo Mkubwa kumuandika Mitandao mingine mikubwa ya
Nigeria Kama Aquavibes nao walimuandika
Hata hivyo, baadhi
waliponda maelezo hayo kwa kusema kuwa, Afrika ina mabinti wenye maumbo
tata kuliko Masogange hivyo mtandao huo ungefanya uchunguzi kabla ya
kuripoti habari hiyo

No comments:
Post a Comment