Huddah the boss chick aonyesha kadi ya gari,ushahidi kuwa anamiliki Range Rover anayoendesha
Huddah
The Boss lady wa Kenya aliyewahi kushiriki BBA amewanyamazisha wale
walioponda kuwa gari amepewa tu atembele ni kwamba sio yake kwa kuweka
wazi kadi ya gari yenye jina lake.
No comments:
Post a Comment