Wednesday, 5 November 2014

MTU MZIMA HOVYOOOO- AFUNGA MTAA KWA VITUKO NA UFIRAUNI ,TAZAMA PICHA


Mtu mzima huyo anakata mitaa akiwa na Fegi mdomoni na Kiroba mkononi.
Wadau katika pitapita mitaani nilikutana na mama huyu mtu mzima akifanya uchangudoa mitaani mchana kweupee bila hata ya kuwa na aibu! Shuhudia mwenyewe picha hizi!
Kikielekea dukani kuongeza kiroba na sigara
 Baada ya kuambiwa lile ni duka la vifaa akaamua kununua kwenye kioksi na hapa anaomba moto
Alipoona watu wanamjalia akaamua ajikate huku akitingisha vikalio vyake!

No comments:

Post a Comment