Yaliyojiri katika Viwanja vya Jangwani kwenye Mkutano wa UKAWA...sasa kusimamisha mgombea mmoja wa urais
Yametimia!! Vyama vya Chadema, NCCR Mageuzi,
CUF na NLD vimesaini makubaliano ya kuwa na ushirikiano katika shughuli
za siasa ikiwa ni pamoja kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi
mbalimbali za uchaguzi kuanzia uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa hadi
Uchaguzi Mkuu 2015.
No comments:
Post a Comment